- Ipe anwani mwafaka taarifa ( alama 1)
- Ukweli kuhusu uvutanu sigara.
- Sigara husheheni idadi ya sumu? taja tatu kati ya hizo. (alama 3)
- Nikotini
- Hewa ya kaboni monoksaidi lami
- Eleza madhara mawili y uvutaji wa sigara (alama 4)
- Huletea kansa ya mapafu, mdomo, umio koo
- Sumu ya kaboni monoisaidi huzuia wambazaji wa chembeshemba muhimu mwilini
- sumu ya lalmi huathiri mapafu
- husababisha maradhi ya vidondal vya tumbo.
- Eleza hila zinazotumiwa na makapuni ya sigara kuwavutia wateja. ( alama 4)
- Tangazo la sigara linalomwonyesha mvutaji kama mwananichezo maarufu
- Kuweka tangazo lindoonyesha hatari za uvutaji sigara pembeni pahala ambapo halionekani vizuri.
- taja sababu tatu zinazowafanya vijana kuvuta sigara. ( alama 3)
- Wanashawishiwa na matangazo ambayo hupambwa kwa njia ya kuvutia
- Shinikizoo na vishawishi nya wenzao
- kutojua madhara ya uvutaji wa sigara
- watoto wanawaona wazazi au ndugu
- Eleza maana ya msamiati ufuatao kama uliyotumiwa katika makala.
i) Shinilizo – rika
- Kulazimishwa sutanda jammbo la watu kwa vika moja
ii) Hunadi
- Hutoa fangareo
SEHEMU B MATUMIZI YA LUGHA ( ALAMA 50)
1. Sarufi ni nini. ( alama 2)
- Kanuni za lugha zonazotumiwa ili kupata ufasal wa usanifu katika lugha.
2. Matamshi ya konsonanti za Kiswahili hubainishwa kutegemea vigezo vitatu. Vitage ( ala4)
- Mahali hawa inapozuiliwa
- Jinsi hawa inavyozuliwa
- Hali ya mtetemeko katika nyuzi za sauti
3. a. Eleza maana ya.
i. sauti ghuna . ( alama 2)
- Konsonanti zinazotokeza mtetemeko katika nuzi za sauti zianpotamkwa
- mf,b,d, z.n.k
ii. Sauti hafifu. ( alama 2)
- Hazitokezi mtetemoko wowote
- p,s,t, n.k
b) Orodhesha konsonanti mbilimbili ambazo ni;
- Vizuio – kwamiza
ch
- Vipasuo vya kaakaa laini
k,g
- Vipasuo vya ufizo
t,d
4. a. Eleza maana ya silabi ( alama 2)
- Sehemu ya neon lenye harufi ambazo huweza kuamkwa mara moja au kwa pamoja
b) Andika maneno mawilimawili yenye muundo wa silabi ya:
i) Irabu oa ua au n.k
ii) Silabi mwambatano mbwa kunya bwana n.k
5. a. Bainisha aina za maneno katika sentensi zifuatazo. ( alama 2)
i) Maria hufikiri sana siku hizi
- N T E E
B. Nomino hizi katika ngelo gani? (alama 2)
i. Mwenendo
- U – I
ii) Ukuti
- U – IZI
6. Tulipokuwa tunaagana na sahibu Wangu aliniandikia anwani yake ambayo ni slp 5 namsore
(alama 2)
- Tulipokuwa tunaagara na salibu wangu aliniandikia anwani yake ambayo ni S.L.P5 Namsore
7. Andika kwa wingi.
Upepo wa kusini ulipeperusha bati la paa la nyumba na kuharibu kifaa muhimu. ( alama 2)
- Upopo wa kusihi ulipeperusha mabati ya paa za nyumba na huharibu vifaa muhimu
8. Tunga sentensi yenye mapangilio ufuatao. ( alama 2)
nomino+kivumishi+kitenzi+kielezi+kielezi
- Mwanafunzi mtukufu aliadhibiwa nikali sana.
- N V T E E
9. Tofautisha kati ya shadda na kiimbo
- Kiimbo- mawimbi ya sauti jinsi sauti inavyopanda na kushuka mtu anapoongea
- Shadda – Mkazo unawekwa kwenye silabi Fulani ya nenoili liweza kutokeza maan yake halisi
10. Taja na ueleze aina mbili za ala za matamshi toa mifano kwa kila aina.
- Ala sogezi – viungo vyenye kusongea songea kwenye viungo vingine wakati wa kutamka
- Ala tuli – Viungo ambavyo vimetilia au havisogei wakati wa kutoka mf meno, ujizi kaaka
11. Huku ukitoa mifano mwafaka, eleza maana ya”
i. Vitawe
- Maneno yenye maana zaidi ya moja
- mf, paa ,ndege, mbuzi, kifaru
ii. Visawe:
- Maneno yenye maana sawa
- mf rafiki mwandari
12. Onyesha silabi inayowekewa shadda kwenye maneno yafuatayo.
i. Karatasi
- Kara’tasi
ii. Barabara (shwari)
- BA’rabara
iii. Barabara (njia kuu)
- Bara’bara
13. Eleza maana ya nasahau hizi (alama2)
i. Jipalia makaa
- Kujingiza kwenye shida
ii. Enda dalji
- Enda kwa maringo
14. a.Tofautisha kati ya konsonanti na Irabu. (alama1)
- wakati wa kuzitamka irabu hewa haizuiliwi mahali popote ilahali wakati wa suzitamka kosonanti hawa huzuiliwa kwenye ala mbalimbali za kutamka.
b. Utamkaji wa irabu hu tegemea sifa tatu zitaje. (alama3)
…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
SEHEMU C:
ISIMU – JAMII (ALAMA 15)
i. Eleza maana ya isimu jamii (alama3)
- Matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali
ii. Lugha ni nini. (alama3)
- Chombo cha mawasiliano
iii. Fafanua majukumu matano yanyotekezwa na lugha katika jamii.(alama 10)
- kuwezesha jamii kuwasiliana
- husaidia katika kubadilishana mawazo
- lugha huweka kumbukumbu
- hutumiwa kuelimisha kufundisah
- kufalamisha aya kupasha habari taarifa n.k
- Kubududisha / kuchangamsha
SEHEMU D: FASIHI (ALAMA 20)
I. Eleza maana ya Fasihi simulizi. (alama2)
- Fasiha simulizi – masimulizi au ufandaji tunaopokea au kuuwakilisha kwa mdomo
ii. Eleza dhima ya Fasihi katika jamii. (alama5)
- kuelimisha
- kuendeleza utamaduni
- kukuza uanii
- kuburudisha
- kioo cha jamii
- n.t
iii. andika tanzu zozote tatu za Fasihi simulizi. (alama 3)
- Hadithi
- maigizo
- semi
- ushairi
- mazungumzo
iv. Eleza tofauti tano kati ya Fasihi simulizi. Andishi. (alama10)
Fasihi sumulizi | Fasili andishi |
Huwasiliswa kwa mdomoHilifadhiwa papo hapoMali ya jamiiMuundo wake huwa halisiUzuri wake untegemea ubigwa wa anayewasilisha jukwaani | MaandishiMaandishi hayabadilikiMali ya mtu binafsiNgumUsuri wakeUategemea usanii wa mwadisi |