Wahusika Katika Tamthilia ya Wema Hauozi: TIMOTHY AREGE

info

download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS

Mhusika Mabula

Ni muhusika mkuu katika tamthilia. Ni mume wake mishi  na babake Dama. 

Sifa

  • Ni mwenye bidi– anafanya kazi kutosheleza mahitaji ya famila yake
  • Ni mwenye utu– anafchua uozo katika viongozi kwa ajili ya wanachi.
  • Ni mjasiri/shujaa– anaipoteza kazi yake kutokana na ujasiri wa kusema kwamba kuna ubadhirifu wa mali ya umma.
  • Ni mwenye matumaini– anaishi kwa matumaini kwamba siku moja atapata kazi  nyingine
  • Ni mlevi– baada ya kuipoteza kazi yake anabadilika kuwa mlevi wa kila siku.
  • Ana mapenzi ya dhati– kama mume wake mishi na babake dama anang’ang’ana

kuhakikisha familia yake inaendelea vyema.

Mishi

download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS

Bi.Buba

download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS

Dama

download Full Guide: Guide To Wema Hauozi by Timothy Arege Grade 8 JSS