Please Limited time Offer!

TUMBO LISILOSHIBA Prediction Revision Questions 2022

1.AlifachokochonaDumuKayanda:TumboLisiloshibana
hadithinyingine
“Doandiokawaidainayobainishamaishaya
mwanadamu.”Onyeshaukweliwakaulihiikwamujibuwahadithi
za:ShogakeDadaanaNdevu,MameBakari,ShibeInatumaliza
naMtihaniwaMaisha.(alama20)
2.Nakwaninihazitakikuukemeamfumohuuwamaisha?Mfumo
wamwenyenachokuendeleakupatanamsinachokuendelea
kukosa?
a)Eleza muktadha wa dondoo hili
(alama4)
b)Fafanuamaudhuimawiliyanayodhihirikakatikadondoo
hili (alama4)
c)Tambua na ueleze sifa sita za msemaji
(alama6)
d)Eleza athariya “msinacho kuendelea kukosa”katika
jamiihusika (alama6)

3.FafanuajinsisualalaelimulimeshughulikiwakatikaTumbo
LisiloshibanaHadithiNyinginekwakurejeleahadidhizifuatazo:
a)MapenziyaKifaurongo alama5)
b)ShogakeDadaanaNdevu (alama5)
c)MtihaniwaMaisha (alama5)
d)MwalimuMstaafu (alama5)
4.“…Basiniachenitafutepesa.Muhimumniungemkono…”
(a) Elezamuktadhawadondoohili(alama4)
(b) Fafanuasifazozotennezamzungumziwa(alama4)
(c) Fafanuaathariyavitendovyamzungumzajiwamaneno
hayakatikajamii(alama12)
5.Jadilisualalauozowamaadilikatikajamiihukuukirejelea
hadithizozotennekatikadiwaniyaTumboLisiloshibana
HadithiNyingine(alama20)
6.Eleza nafasiya vijana katika jamiiukerejelea hadithifupi

zifuatazo.
a)Mapenziyakifaurongo
(alama5)
b)ShogakeDadaanaDevu
(alama5)
c)MameBakari
(alama10)
7.Ndotoyamashaka:AliAbdallaAli
“Sasanimechokamja.Nimechokahatanaraduakufakuliko
kuishi.Hadilinihayamashakayakutengenezwa?Mashakaya
mashaka!
a)Elezamuktadhawadondoohili
(alama4)
b)Tambuambinumbilizalughazilizotumika (alama4)
c)Fafanuamambositayanayomfanyamrejelewaaraduekufa.
(alama12)
8.“Kwetu tunapiganiamikonoielekeevinywani.Mzoeavya
sahani,vyavigaehaviwezii”
a)Elezamuktadhawadondoohili (al4)
b)Tambuatamathalimbilizausemizinazojitokezakatika
dondoohili
c)Fafanuasifannezamsemaji (al4)
d)Jadilimaudhuiyautabakaukirejereahadithihusika
(al10)
9.Jadilimaudhuiyausalitikatikahadithi;
a)Mapenziyakifaraurongo(al10)
b)MameBakari (al10)
10.“Madhilayamtotomvulanakatikakarneyaishirininamoja
nimengi.”Teteakaulihiikwahojaishiriniukirejeleahadithiya
MapenziyaKifaurongo,MashartiyaKisasanaNdotoya
Mashaka. (alama20)

11.SalmaOmar:ShibeInatumaliza
(a)“Sijalilawamamnonilaumu”
(i)Elezamuktadhawadondoohili.(alama4)
(ii)DJnawenzakewanaonekanakufurahiamaudhuiyawimbo
huu.Thibitisha.(alama6)
(b)AlifaChokocho:ShogakeDadaanaNdevu
“…tumshukurukwajinsialivyomwongozanakumwelekeza
kwenyenjiailiyonyooka” UkirejeleawasifuwaSafia,teteana
upingekaulihii. (alama10)
12.Kwakurejeleahadithiyamapenziyakifaurongo,onyeshajinsi
jamiiimegawanyikakitabaka kuegemea.
i.Kielimu
ii.Kikazi
iii.Kiuchumi(alama20)
13.SHIBE INATUMALIZA

“Nduguyangukulakunatumaliza”
“Kunatumalizaautunakumaliza”
a)Elezamuktadhawadondoohili (al.4)
b)Fafanuamaanakitamathalikatikakauli‘Kulatunakumaliza’
(al.10)
c)Kwamujibuwahadithihii,kwanamnaganiwasemajiwanadai
kulakunawamaliza?(al.6)
14.‘MAMEBAKARI’
Kwamujibuwahadithihii,ubahaimuanaotendewamwanamke
unakuwanaatharimbayakwake,onyeshakwamifano
mwafaka. (al.10)
‘MASHARTIYAKISASA’
“……………mapenzinimateso,niutumwa,niukandamizaji,ni
ushabikiusionamaana.”
Thibitishaukweliwakaulihiikamaunavyojitokezakwenyehadithi.

(al.10)
15.Jadilijazandazaanwanikatikahadithizifuatazo
a)ShibeInatumaliza (alama8)
b)Mtihaniwamaisha (alama6)
c)Mkubwa
(alama6)
16.MAPENZIYAKIFAURONGO
“Kutazamashulezavijijinikumwibuabingwakatikamtihani
wakitaifanikamakutarajiakupatamaziwakutokakwakuku.”
a.Elezamuktadhawadondoohili (alama4)
b.Tambuambinumojayalughakwenyedondoohili.
(alama2)
c.Jadilimaudhuiyafuatayokatikahadithihii

i) Mabadiliko (alama5)
ii) Uozo (alama5)
17.“…maendeleoyanadaimchangowakilamtu,maskinina
tajiri”
a)Elezamuktadhawadondoohili. (alama4)
b)Tajanauelezesifannezamsemajikatikadondoohili.
(alama4)
c)Mamboyepimengineambayomsemajihuhojianana
wenzakewanapokutana? (alama6)
d)Tajanauelezemaudhuimatatuyanayojitokezakatika
dondoohili.(alama6)
18.Kwakurejeleahadithizozotetanokatikadiwaniya,‘Tumbo
lisiloshibanahadithinyingine.’Jadilimaudhuiyanafasiya
wazazikatikamalezi.(alama20)
19.“…..ilmuradimawazoyanamwadhibusasa”
a.Elezamuktadhawadondoohili.
(alama4)

b.Fafanuasifazaanayerejelewakatikadondoohili.
(alama6)
c.Onyeshamawazoyanayomwadhibuanayerejelewana
dondoohili.(alama10
20.
a.“Mamangusikuilealiniamshamapema.”
i)Elezamuktadhawadondoohili.
(alama4)
ii)Tathminiumuhimuwausimuliziwamzungumzajikatika
kuendelezadhamirayahadithihii. (a8)
b.Onyeshajinsimashakalinavyomwafikimhusikamwenyewe
katikahadithiya“NdotoyaMashaka”(alama8)
21.i)Sektayaelimuinachangamotonyingi.Thibitishakwa
kurejeleahadithizifuatazo :(alama20)
a)MapenziyaKifaurongo
b)ShogakedadaanaNdevu
c)Mwalimu Mstaafu
d)Mtihaniwamaisha
22‘’Hakikubakiahatachakulakidogochasadakayamwenye
njaa… ‘’
i) Thibitishaukweliwakaulihiikwahojakumiukirejeleahadithi
yaTumboLisiloshiba (al10)
ii)JadiliuhalisiawahadithiyaTumboLisiloshibakatikajamiiya
leokwakutoahojakumi. (al10)

23.”MameBakari”(MohamedKhelefGhassany)
“Duniawe’dunia.Duniayamwenyenguvu,siyamimidhaifuwa
nguvu.Duniayamsumari
motojuuyadondabichi.”
(a)Elezamuktadhawadondoohili.(Alama4)
(b)Nimbinuipiiliyotumikakatikadondoohili?(alama2)
(ch)Tajabaadhiyamaamuziyamaanayaliyofanywanamsemaji
wadondoo.(alama6)
24.”TulipokutanaTena”(AlifaChokocho)
“Hivindivyomaishayapasavyokuwa-hurukabisa.”
(a)Elezamuktadhawadondoohili.(alama4)
(b)Ukirejeleahadithi,thibitishakuwammojawawahusikahawa
hakuishimaisha
yaawaliinavyopasa.(alama16)

25.Fafanuamaudhuiyaumaskiniyanavyojitokezakatikahadithi
TumboLisiloshibanaTulipokutanaTena.Zingatiahojannenne
kwakilahadithi.(alama20)
26..”ShogakeDadaanaNdevu”(AlifaChokocho)
“Halindwi,hujilindayeyemwenyewe.Hujilindandanisikwambii
nje.”
(a)Elezamuktadhawadondoohili.(alama4)
(b)Oneshatamathalimbilizausemikwenyedondoo.(alama2)
(ch)Fafanuasifasabazaanayerejelewakatikakaulihii.(alama
14

27.KwakurejeleahadithizozotetatukatikadiwaniyaTumbo
LisiloshibanaHadithiNyingine,jadilivilewaandishi
walivyoshughulikiasualalamapuuzakatikajamii.(alama20)
28.”MtihaniwaMaisha”(EuniceKimaliro)
“ilmuradimawazoyanamwadhibusasa.“
(b) Elezamuktadhawadondoohili.(alama4)
(c) Fafanuasifasitazaanayerejelewakatikadondoohili.
(alama6)
(d) Tajamambombalimbaliyanayochangiaadhabuya
mrejelewawadondoohili.(alama10)
29..KwakurejeleahadithizozotetatukatikaTumboLisiloshiba
naHadithiNyingine,oneshavilewaandishiwalivyotumiambinu
yataswira.(alama20)
30.”Kauliyakenikamamajiyamotoyasiyowezakuchoma
nyumba.”

a)Elezamuktadhawadondoohili.(Alama4)
b)Tajanauelezeumuhimuwatamathalimojayausemi
iliyotumikakatikadondoo.(Alama2)
c)Fafanuasifazawapuuzajiwakauliiliyotolewa.(Alama8)
d)Jadilidhimasitazamrejelewakatikadondoo.(Alama6)
31″ShibeInatumaliza”(SalmaOmarHamad)
“Ubadhirifuunaotendekakatikajamiiunatokananauzembena
mapuuzayawanajamii.Oneshaufaafuwakaulihiikwakurejelea
hadithi:ShibeInatumaliza
32.”mashartiyakisasa”(alifachokocho)
“…natakaujuekwambamiminimwanamkewakisasa,na
mwanamkewakisasahutafutamwanamumewakisasa.”
(a)Elezamuktadhawamanenohaya.(Alama4)
(b)Anayesemahayaalikuwanasifazipi?(Alama8)
(ch)Anayeambiwamanenohayaalijuamaanayausasa?
Thibitisha.(Alama8)

a)Elezamuktadhawadondoohili.(alama4)
b)Tajanauelezeesifazamnenajiwadondoohili.(alama6)
c)Fafanuamaudhuiyoyofematanoyanayoshughulikiwakatika
hadithihii,(alama10)
34.a)Mashakanijinalakimajazikatikahadithiya”Ndotoya
Mashaka”.Jadili.(alama10)
a)Onyeshanamnaasasiyandoailivyoshughulikiwakatika
hadithihii.(alama10)
35.”Kumekuchanamakuchakuchayake.”
i. Fafanuaukweliwakaulihiiukirejeleahadithiya”Ndotoya
Mashaka”(alama14)
ii. ElezaumuhimuwamhusikaMashaka.(alama6)
36.“Sektayaelimuimekumbwanachangamotokatikajamii”.
FafanuakaulihiiukirejeleadiwaniyaTumboLisiloshibana
HadithiNyingine.(alama20)
37.’Jazandainatumikakatikahadithiya”Kidege”.’Fafanua.
(alama20

38.’Maudhuiyamapenziyameshughulikiwavilivyokatikadiwani
yaTumboLisiloshibana
HadithiNyingine.’Thibitishakaulihii.(alama20)
39.”Umdhaniyendiyekumbesiye.”Thibitishaukweliwakaulihii
ukirejeleahadithizozotetanokatikadiwaniyaTumboLisiloshiba
naHadithiNyingine.(alama20)
40.“Keshokamasotetutaamkasalama……….kamatutafungua
milangoyanyumbazetu”….
(a) Elezamuktadhawadondoohili
(alama4)
(b) Elezatamathalimbilizalughazilizotumiwakatikadondoo
hili.(alama4)
(c) Elezasifasitazamsemajiwamanenohaya.
(alama6)
(d) Hadithihiiinaakisimambomengiyanayotendekakatikabara
laAfrika.
Tajamambosita (alama6)

41.Ukengeushihuzoroteshamaendeleoyakijamii.Jadilikaulihii
ukirejeleahadithiya‘Mkubwa’. (alama20)
42.Kwakuzingatiahadithizozotetanoelezauozowajamiikama
unavyojitokezakatikatumbolisiloshiba (Diwani)(alama20)
43“Keshopanapomajaaliwa.Keshokamasotetutaamka……..
kamatutafunguamilangoyanyumbazetuzinazosimamiajuuya
ardhihiiadhimu…”
a)Elezamuktadhawadondoohili
(al.4)
b)Elezasifannezamsemaji
(al.4)
c)Tajambinuzozotembilizalughazinazojitokezakatika
dondoohili (al.2)
d)Kwakurejeleahadithinzimaonyeshanamnajamiiyakisasa
inatumbolisiloshiba (al.10)

44.“Rastatwambiebwana!”
a)Wekadondokatikamuktadha (ala4)
b)Tajambinuzilizotumiwanamwandishikatikadondoohili
(ala2)
c)Nikwavipimzungumziwaanamchukuliamwalimumkuu
kamahambe?(ala4)
d)Je,mtihaniwamaishaniamwanifaafuyahadithihii.(ala
10)
45.Usiteketezeumatikamakunizinavyoteketezamoto.Rudirudi
kwamolawako.
a.Elezamuktadhawadondoohili.
b.Fafanuasifazamsemewa
c.Tambuatamathaliyausemiiliyotumikahapojuu.
d.Nikwaninimsemewaanatakikanakurudikwamola
wake?

Scroll to Top