Nguu za Jadi KCSE Questions and Answers- 2024 KCSE Prediction Questions

info

This is a compilation of Questions from past KCSE, Mocks, Pre/Post-mocks and Internal Exams.

For answers call 0754238886

RIWAYA:  Clara Momanyi: Nguu za Jadi

  1. Fafanua ufaafu wa anwani “Nguu za Jadi”.. (alama 20)
  2. “Samahani… Nina shida kidogo. Ninaomba usaidizi. Sikuwa nikilipa ushuru katika biashara zangu. Sasa wanataka kuzifunga na kunipeleka kotini.”
  3. Eleza muktadha wa dondoo                                                                (alama 4)
  4. Bainisha toni katika dondoo hili                                                         (alama 2)
  5. Msemaji wa maneno haya na wengine ni adui ya wananchi wa Matuo. Eleza ukweli wa kauli hili.                                                                                   (alama 14)

                                              

  • Matumizi mabaya ya mamlaka ni tatizo sugu sana katika mataifa mengi ya Afrika yanayoendelea kiuchumi. Kwa kutolea hoja mwafaka, tetea ukweli wa kauli kwa mujibu wa riwaya ya nguu za jadi.                                                                                   (alama 20)
  • SEHEMU A: RIWAYA: Clara Momanyi: Nguu za Jadi

“Huyu kicheche wako …asipo koma kuharibu watoto wa nchi hii,yatamtumbukianyongo. Tukimkamatahatutamfikishakituoni, tutamshughulikiasisiwenyewe. Nawehabarizakozotechafututazianikamagazetini…”

a)         Eleza muktadhawadondoohili                                                            (Alama 4)

 (b)      Bainisha tamathalimbili za usemikatikadondoohili.                            (Aalama 4)

 (b) Fafanuaumuhimuwamhusikaanayerejelewakuwana ‘habarichafu’.              (Alama 12

  •  “Lazima amejiunga na kundi la marafiki wenye pesa wanaojaribu kumpotosha.”

(a) Eleza muktadha wa dondoo. (alama 4)

(b) Anayesema maneno haya ni jasiri. Thibitisha kwa hoja tano. (alama 5)

(c) Tathmini kwa hoja kumi na moja nafasi ya wenye pesa katika kuendeleza tamaa na ubinafsi katika

nchi ya Matuo. (alama 11)

Nguu za Jadi KCSE Questions and Answers

  •  “Mangwasha siku zote hizi ulikuwa unachezeshwa kayamba tu. Ati walisema Osama alikuwa hatari

kwa usalama duniani; kuna Osama kuliko huyu?” alijiskia kusema. Alishusha pumzi kwa nguvu

akajiuliza kimoyomoyo kwa nini Mungu aliruhusu moto kumtia kwenye shimo la maangamizi na wanawe.

Hata hivyo, aliamini kuwa wakati mwingine Mungu huruhusu mabaya kutokea ili kuwafunza waja.

Waaidha, alijua kuwa mashaka yanapomkumba mja, huwa ni funzo pia. Humtayarisha kuyahimili

machungu zaidi ulimwenguni ama kumuasa dhidi ya kuabudu maovu. Maovu yanapotendwa na wachache,

hata wale wasio na hatia pia hujikuta wamo humo uovuni. Ni mtego wa waliomo na wasiokuwemo.

(a) Changanua mtindo katika dondoo hili. (alama 5)

(b) Eleza umuhimu wa mandhari ya kanisani aliko Mangwasha katika kukuza Riwaya ya Nguu za Jadi

(alama 5)

(c) Nchi ya matuo imeshinikizwa na Nguu Za Jadi zinazorudisha nyuma usawa katika jamii. Tathmini

kauli hii kwa hoja kumi. (alama 10)

  • “Naweza kuoa wakati wowote na idadi yoyote ya wanawake.”

(a)Weka dondoo hili katika muktadha wake.                                                    (alama 4)

(b)Tambua maudhui katika dondoo hili.                                                            (alama 4)

(c)Kwa kutoa mifano kumi na miwili mwafaka  kutoka riwayani,onyesha jinsi maudhui uliyotambua hapo juu(4b) yalivyoshughulikiwa na mwandishi. (alama

  • Tamaa na ubinafsi ni baadhi ya masuala makuu yaliyoshughulikiwa  kwa mapana na marefu na Clara Momanyi  katika riwaya yake ya Nguu za Jadi. Kwa kutoa mifano mwafaka riwayani thibitisha ukweli wa kauli hii.                    (alama 20)
  •  “Tangu lini mke amuulize mumewe kule aendako au atokako?…..Ama kweli, wanawake wa

kisasa wanavunja kila mwiko uliowekwa na wazee.”

Nguu za Jadi KCSE Questions and Answers

i) Yaweke maneno haya katika muktadha wake. (alama4)

ii) Kwa kutoa mfano,taja mbinu ya lugha iliyotumika. (alama2)

iii) Eleza umuhimu wa msemaji (alama4)

(iv) Kwa kutoa mifano kumi kutoka riwayani, fafanua jinsi mwanamke amesawiriwa katika

jamii ya Matuo. (alama 10)

  1.  Jamii ya Matuo katika riwaya ya ‘Nguu za Jadi’ imekumbwa na usaliti si haba. Kwa kutoa

mifano mwafaka riwayani, onyesha ukweli wa kauli hii. (alama20)