Please Limited time Offer!

Mapambazuko ya Machweo KCSE Questions and Answers- 2024 KCSE Prediction Questions

This is a compilation of Questions from past KCSE, Mocks, Pre/Post-mocks and Internal Exams.

For answers call 0754238886

HADITHI FUPI:  MapambazukoyaMachweo – D.W Otuoma

Sabina (Winnie NyaruruOgenche)

 1. Eleza nafasi ya vijana na wazee katika hadithi ya Mapambazuko ya machweo. (alama 20)
 2. ‘Sasa ni saa ngapi? Si wajua mtoto angali anakusubiri? Mtoto analala!’
 3. Eleza muktadha wa dondoo hili                                                         (alama 4)
 4. Bainisha mtindo katika dondoo hili                                                   (alama 3)
 5. Eleza umuhimu wa msemaji katika kuendeleza maudhui katika hadithi ya Harubu ya maisha.                                                                                               (alama 10)
 6. Kwa hoja tatu, eleza umuhimu wa msimulizi katika kuendeleza hadithi ya mzimu wa kipwerere                                                                                      (alama 3)
 • Jadili matatizo anayopitia Sabina kabla kufikia kutimiza  ndoto  yake katika Hadithi ya Sabina.                  (alama20)
 • MzimuwaKipwerere( Yusuf Shoka Hamad)

“MzimuwaKipwerereukitishakwamengi. Kwanza jina lake…”

a) Bainisha mnenajiwamanenohaya                                                   (alama 2)

b) Mbali nakutishakwajina lake, eleza mambo menginematatuyaliyomshtuamnenajiwamanenohayana vile alivyosimuliwakuyahusu. (alama6).

Fadhila za Punda(Rachael Wangari)

c) “ Hajaonekanatena. Waonasasa? Uliachambachaokwamsalaupitao. Ulimfanyamkeo ngoma kwasababuyahawaraambayehakuthaminihatachembe. Sasa angalia. Atakutunzanani? Atakuuguza nani, maanakwakofadhila za pundanimashuzi!”

(i) Bainisha mitindomitatuyalughakatikadondoohili.                                     (alama 6)

Mapambazuko ya Machweo KCSE Questions and Answers

 •  Ahadi ni Deni-Rayya Timammy

a. `Maudhui ni kipengele muhimu katika kazi ya kisanii.’ Thibitisha dai hili kwa kurejelea maudhui yafuatayo katika hadithi,Ahadi ni Deni. Alama 10

i. Uwajibikaji

ii. Nafasi ya wanawake

b. “ Ni vigumu kwa binadamu kuungama jambo kama hili ila kwa sasa naona ndiyo njia ya pekee ya kuinusuru nafsi yangu.’’

i. Weka maneno haya katika muktadha. Alama 4

ii. Wahusika wengi katika hadithi Toba ya Kalia ni wasaliti. Eleza kikamilifu.

 •  Kila Mchezea Wembe

“Watu wanaomboleza nikaja na fujo zangu bila kujali wala kubali na kuvuruga shughuli maziarani.’’

a. Eleza muktadha wa maneno haya. Alama 4

b. Tathmini athari kumi na mbili za unywaji pombe kwa kurejela hadithi hii.

c. Kwa kutoa hoja nne hadithini, eleza umuhimu wa mnenaji. Alama 4

 • “Enhee! Mpaka sasa hukupata nafasi ya kupiga simu, au angalau kutuma arafa?” “Samahani …

ulipopiga nilikuwa barabarani, singeweza kupokea simu.”

(a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 5)

(b) Tambua toni katika dondoo hili. (alama 1)

(c) Eleza vipengele viwili vya kimtindo katika dondoo hili. (alama 2)

(d) Eleza sifa nne za aliyekuwa barabarani akapigiwa simu na kushindwa kuipokea.

( (alama 4)

(e) Harubu ni sehemu ya maisha ya binadamu. Hakiki kauli hii kwa hoja nane kwa kurejelea

hadithi Harubu ya Maisha. (alama 8)

Mapambazuko ya Machweo KCSE Questions and Answers

 • . …akikiomba radhi kile kitawi cha mti kilichonasa kwenye kazu yake ya rangi ya udongo iliyoficha

kiwingu cha nongo kwa kukosa kuoshwa tangu ainunue! Nikauacha mpambano ule kati ya mzimu na

mwenye dhamana ya mzimu ambao sina shaka ulidumu hadi asubuhi pale wanakijiji walipofika

kushuhudia siri nzito iliyomezwa na mzimu ule waliokuwa wakiogopa na kuamini kiasi cha kuabudu kwa

unyenyekevu na uchaji uliotukuka!

(a) Eleza muktadha wa dondoo. (alama 4)

(b) Fafanua umuhimu wa mandhari katika dondoo hili. (alama 4)

(c) Fafanua mbinu za kimtindo katika dondoo. (alama 4)

(d) Onyesha jinsi itikadi ilivyomwezesha ‘mwenye dhamana ya mizimu’ na wenzake kuwafanya

wanakijiji kuogopa na kuamini Mzimu wa Kipwerere kiasi cha kuabudu kwa unyenyekevu na uchaji

uliotukuka. (alama 8)

 • WINNIE NYARURI OGENCHE:SABINA

Maneno ya ripota huyo yalimwiingia Ombati maskioni yakasalia huko.Hayakufika akilini.Mwalimu mkuu alipenya  kwenye umati uliokuwa umeanza kuwa mkubwa na kumtaka  Ombati awaelekeze alikokuwa Sabina .Kabla ya Ombati kuwajibu,Sabina alifika nyumbani amevaa rinda kuukuu huku harufu ya samadi inamvuka.Watu waliokuwa wakimngoja walimzoa juujuu na kuanza kuimba tena. Ombati aliwafurusha wageni waliokuja kumwoa Sabina pamoja na mifugo wao.Baada ya kufanya hivyo,alijiunga na Sabina kuhojiwa na kupigwa picha.Alijitanua jinsi alivyotunukiwa kumlea mwana mwepesi masomoni.

a)Eleza umuhimu wa mhusika Sabina katika kukuza hadithi husika.       (alama 6)

b)Kwa kutoa mifano mwafaka kutoka kifunguni,onyesha aina nne za taswirazilizojitokeza.                                                                                                   (alama 4)

c)Fafanua changamoto zinazokabili jinsia ya kike kwa mujibu wa hadithi hii.

                                                                                                                                     (alama 10)

Mapambazuko ya Machweo KCSE Questions and Answers

 1. YUSSUF SHOKA HAMAD: Mzimu wa Kipwerere

“…Kabla mwanamke yule hajakiwasha kile kibatari,nilijitokeza mle mvunguni  na maguo yangu meupe kama ya maiti nikaangua mwangwi mkali mfano wa parapanda ya siku ya kiama.”

(a)Yaweke maneno haya katika muktadha wake.                                               (Alama 4)

(b)Fafanua umuhimu wa mandhari katika dondoo hili.                         (Alama 4)

(c)Fafanua mbinu za kimtindo katika dondoo hili.                               (Alama 2)

(d)Onyesha jinsi itikadi ilivyomwezesha mlinda mzimu na wahenga waliotukuka kuwafanya wanakijiji kuogopa na kuamini mzimu wa Kipwerere kiasi cha kutofanya mzaha na maeneo yale ambayo mzimu uliotea..                          (alama 10)

 1.      “Una pesa ya kulipa teksi?”

a) Eleza muktadha wa dondoo hili. (alama 4)

b) Taja mbinu mbili za lugha ambazo zimejitokeza katika dondoo hili kwa kutoa mifano.

(alama2)

c) Kwa kutolea hoja nne, onyesha umuhimu wa mnenewa katika kukuza vitushi vya hadithi hii.

(alama 4)

d) Eleza jinsi anwani ‘Mapambazuko ya Machweo’ ilivyoafiki hadithi hii kwa kutoa mifano

kumi kutoka hadithini . (alama 10)

Mapambazuko ya Machweo KCSE Questions and Answers

 1. “Fadhila za Punda”

 “Yu wapi kirukanjia wako? Wajua yuko wapi? Uliacha mbachao kwa msala upitao.

Atakutunza nani, maana kwako fadhila za punda ni mashuzi!”

a) Yaweke maneno haya katika muktadha wake. (alama 4)

b) Tambua tamathali mbili za usemi zilizotumika katika dondoo hili. (alama 2)

c) Fafanua sifa zozote nne za anayeambiwa maneno haya. (alama 4)

d) Kwa kurejelea hadithi ‘Fadhila za Punda’ onyesha jinsi wanawake wanadhulumiwa na

jinsia ya kiume kwa kutoa mifano kumi mwafaka kutoka hadithini. (alama10)

Scroll to Top