Download All Documents- (Ksh 299) Full Day
Hurry during this Offer

History Form 4 Topical Questions And Answers

These are topic per topic KCSE questions and answers. History Form 4 Topical Questions And Answers History Form 3 Topical Questions And Answers History Form 2 Topical Questions And Answers History Form 1 Topical Questions And Answers

Categories Uncategorized

Wahusika Katika Hadithi- Mapambazuko ya Machweo- Mwongozo

WAHUSIKA: Sifa na Umuhimu Lilia Katika Mapambazuko ya Machweo Ni mwenye mapenzi ya dhati. Anapompenda Luka, anafanya kila jambo kuhakikisha amempata. Anamsisitizia babake kuwa Luka pia anastahili mapenzi. Hata anapomtesa, ananyenyekea kwake kwa imani kuwa atabadilika. Ni mvumilivu. Mumewe anampiga kila mara na hata kumwumiza, lakini anajitia moyo huku akiomba kuwa atabadilika. Ni mcha Mungu. … Read more