Download All Documents- (Ksh 299) Full Day
Hurry during this Offer
Kiswahili Setbooks
Download and read Kiswahili setbooks revision material. These materials include Mwongozo wa Bembea ya Maisha, Mwongozo wa Nguu za Jadi, Mapambazuko ya Machweo and Questions with marking schemes
This is a compilation of Questions from past KCSE, Mocks, Pre/Post-mocks and Internal Exams. MASWALI YA TAMTHILIA YA BEMBEA YA MAISHA NA TIMOTHY AREGE a) Liweke dondoo hili katika muktadha wake. ( alama 4) b) Fafanua sifa tatu za mzungumzaji maneno haya. (alama 6) c) Jadili jinsi msemewa maneno haya anavyoendeleza … Read more
WAHUSIKA: Sifa na Umuhimu Lilia Katika Mapambazuko ya Machweo Ni mwenye mapenzi ya dhati. Anapompenda Luka, anafanya kila jambo kuhakikisha amempata. Anamsisitizia babake kuwa Luka pia anastahili mapenzi. Hata anapomtesa, ananyenyekea kwake kwa imani kuwa atabadilika. Ni mvumilivu. Mumewe anampiga kila mara na hata kumwumiza, lakini anajitia moyo huku akiomba kuwa atabadilika. Ni mcha Mungu. … Read more
Read Also Mwongozo Wa Bembea ya Maisha Comprehensive Study Guide For Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine UTANGULIZI Mwongozo huu una nia ya kuwa mwanga gizani kwa wasomi wa diwani ya ‘Mapambazuko ya Machweo na Hadithi nyingine, kwa kutoa maelezo maridhawa kuhusiana na hadithi tofauti zilizomo humu. Ili kufanikisha hili, mwongozo huu umeangazia masuala kadhaa … Read more
Part 1 ya Mwongozo Wa Bembea ya Maisha-Comprehensive Guide MTIRIRIKO WA MAONYESHO SEHEMU I Onyesho I Nyumbani kwa Sara, Sara ameketi kwenye kochi baada ya kumeza vidonge vya dawa kwa sababu ya maradhi yanayomsumbua. Yona anayeonekana mchovu na mwenye kukinai anaingia kwa nyumba. Onyesho linaanza kwa kuonyeshwa namna Yona asivyofurahia hali katika nyumba … Read more